Ukipata anaejua tiba ya hilo tatizo (Kifo) nitag kwenye hiyo threadAaah! Aaah! Aaah! Bro! Upo Vizur Well Nitakutafuta! Vp Huwez Kufanya Nisife Kabisa?
Umeanza kwere[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukipata anaejua tiba ya hilo tatizo (Kifo) nitag kwenye hiyo thread
Hahahahahaha sio hivyo, ila ni vizuri tukiwa tunapeana habari njema kama hizo[emoji2] [emoji2]Umeanza kwere[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh! Hilo Afadhari! Kuamka Mochwar Usiku Saa 3! Yaan Ukae Uzuge Mpaka Kukuche Duh! Hapana Kwa Kwel bora kaburinBora uamkie monchwari kuliko ushaekwa kwenye jeneza wamekuaga wamefunika wanakufukia ndo unashituka
Bange + kuzama chumvini lazima awe na mawazo kama hayoBhangi mbaya sana
wewe ni daktari au nurse???Omba Mungu Isikukute Mdada!! We Uamke Nyt Saa 3 Halafu Unagundua Kuwa Upo Mortuary Cadaver Ziko Pemben!! Kwa Kwel Na Wew Waza Halafu Ujue Utafanyaje.
2 Years Experienced Clinical Officer.wewe ni daktari au nurse???