mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Kila siku watu watatu mpaka watano hutelekezwa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo jijini Dar es salaam wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18.
Ofisi ya ustawi wa jamii kituoni hapo inasema kuwa wengi wao hutoka majumbani kwao na kuja Dar wakiamini kuwa ndo kuna maisha mazuri, wengine huletwa na kuahidiwa kupatiwa kazi na mwishowe hutelekezwa stendi hapo wasijue pakuelekea.
Aidha sio raia wa Tanzanbia pekee wanaotelekezwa stendi hapo bali hata raia kutoka nchi nyingine kama Congo, Uganda na nchi nyingine.