mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Wengi wanakuja bila mawasiliano yoyote na wenyeji wao, wengine wajipokea wenyewe ila wakifika stendi mambo yanakua tifauti matarajio yao inebidi wajisalimishe kwa ustawi, maisha bila mwenyeji nimagumu sanaa.kila siku watu watatu paka watano hutelekezwa kituo cha mabasi cha magufuli kilichopo jijini Dar es salaam wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18. Ofisi ya ustawi wa jamii kituoni hapo inasema kua wengi wao hutoka majumbani kwao na kuja Dar wakiamini kua ndo kuna maisha mazuri, wengine huletwa na kuahidiwa kupatiwa kazi na mwishowe hutelekezwa stendi hapo wasijue pakuelekea. aidha sio raia wa Tanzanbia pekee wanaotelekezwa stendi hapo bali hata raia kutoka nchi nyingine kama Congo,Uganda na nchi zingine.
Unachangia nini hapa!? Mbona kama ni nje na mada?Maeneo ya stand Kuna mambo mengi sana Kuna kipindi pale nyegezi Kila asubuhi kupata maiti ilikuwa ni kugusa
Mada inasemaje!?Unachangia nini hapa!? Mbona kama ni nje na mada?
Ukiisoma tittle haraka haraka unaweza dhani ni stori ya ushirikina. Yaani watu watatu na paka watano🤯🤯🤯😅
DuuUkiisoma tittle haraka haraka unaweza dhani ni stori ya ushirikina. Yaani watu watatu na paka watano🤯🤯🤯😅