Kila siku wewe tu ndo kikwazo jamaniiiiiiiiiii

telitaibi

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
551
Reaction score
107
Msaliti wa penzi zaidi ya mara kumi,mwonevu,selfish,si mwaminifu hata kwa biashara ya pamoja,mwongo,mkatili,ana wivu,muaribifu wa vitu vyako,mtapanya pesa,mfano mbaya kwa watoto na jamii iliyomzunguka,mnafiki,hajui kutambua kosa,mshindani wa ujinga,anaweza tumia masaa yote kuchat na makahaba hamjui hata mtakula nini kesho,na
bado anataka aonekane na jamii ni mwema au anayofanya ni siri ndani nje kujichekelesha.
je mtu 1 mwenye sifa hizo na ni mbaba wa familia hiyo familia inafuture?????????????

hebu tujadili mzigo wa mambo mabaya kwa mtu huyo huyo yeye kila ovu yuko anasaidika vipi kwani wengine wako hukuhuku wajiweke wazi tusaidiane na mikosi hawa.
 
tabia zote chafu zako ukiambiwa unaleta ubabe tukusaidie vipi au ni laana
 
tuanze kujipima na maovu yasizidi mema mtu unafika sehemu unakinaiwa kabisa kwa tabia chafuuuuuuuuuuu
 
Mpaka kawa mbaba basi sidhani kama mtu huyo unaweza/tunaweza kumbadili tabia. Kama ni mumeo/mwanao basi mwombee tu mana hakuna lisilowezekana kwa Mungu, iko siku God will touch him and he will change
 
Lahaula....umenikumbusha mbali..... Na wapo. Hawa hata ukiwaombea vp HAWABADILIKI!
 
Sepa! No string attached ...mwisho utapewa ukimwi na misosi hamna lazima ufe haraka... Sepa!
 
Huyo ni mwanaume je mwanamke anayeshabihiana na huyo men naye niajee???????
 
Mpaka kawa mbaba basi sidhani kama mtu huyo unaweza/tunaweza kumbadili tabia. Kama ni mumeo/mwanao basi mwombee tu mana hakuna lisilowezekana kwa Mungu, iko siku God will touch him and he will change

kajirani kangu that why nimekaficha ficha unajua tena mambo ya majirani
 
Lahaula....umenikumbusha mbali..... Na wapo. Hawa hata ukiwaombea vp HAWABADILIKI!
unamuombea hadi unaweza kuwa na wasiwasi na imani yako hajigusi ndo kwanza anazidi kuwa dungadunga
 
huwezi mmbadilisha mtu mzima... acha Mungu ashughulike naye we kaa pembeni! sepa!
 
Sepa! No string attached ...mwisho utapewa ukimwi na misosi hamna lazima ufe haraka... Sepa!

dawa ni kukimbia au kutafuta tiba ingekuwa ni uamuzi wa busara kukimbia matatizo MH.KIKWETE asingechagua baraza la mawaziri kila leo angeachia kazi akapunge upepo ila amejikaza na magumu mengi amalize kazi yake
 
Huo ni uzembe na udhaifu wake! mawazili hawamuheshimu kwasababu hana meno, sio kilakitu kinavumilika hasa kinacho tishia maisha no no no, kama unashindwa kurekebisha kitu una kitupilia mbali sasa we huyo jamaa unasema haambiliki do you think utamrekebisha?
 
huwezi mmbadilisha mtu mzima... acha Mungu ashughulike naye we kaa pembeni! sepa!

najua unakuta mtu anaona kaamka kalala aangalii nafasi gani yuko kwa wakati huo kwa hayo yote naweza sema huyu hana sifa ya kuitwa bab
ua zaidi mume au mwanaume kamili je wanaume mnasemaje huyu siyo harufu mbaya kwa kundi lenu
 
Huo ni uzembe na udhaifu wake! mawazili hawamuheshimu kwasababu hana meno, sio kilakitu kinavumilika hasa kinacho tishia maisha no no no, kama unashindwa kurekebisha kitu una kitupilia mbali sasa we huyo jamaa unasema haambiliki do you think utamrekebisha?

kwa miaka aliyokaa na wazazi wake hadi kuwa mtu mzima angejua baya na zuri atafunzwa na ulimwengu kuna wanaume wajinga washamba wanajua kwa kuwa malaya ndo kuonyesha ujanja kumbe kajinga haka kweli
 
napata wasiwasi wako wengi humu mbona kimyaaaaaaaaaaaa sana lo siamini hata wewe nani jamani huna neno
 
Msaliti wa penzi zaidi ya mara kumi,mwonevu,selfish,si mwaminifu hata kwa biashara ya pamoja,mwongo,mkatili,ana wivu,muaribifu wa vitu vyako,mtapanya pesa,mfano mbaya kwa watoto na jamii iliyomzunguka,mnafiki,hajui kutambua kosa,mshindani wa ujinga,anaweza tumia masaa yote kuchat na makahaba hamjui hata mtakula nini kesho,na
bado anataka aonekane na jamii ni mwema au anayofanya ni
siri ndani nje kujichekelesha.
je mtu 1 mwenye sifa hizo na ni mbaba wa familia hiyo familia inafuture?????????????

hebu tujadili mzigo wa mambo mabaya kwa mtu huyo huyo yeye kila ovu yuko anasaidika vipi kwani wengine wako hukuhuku wajiweke wazi tusaidiane na mikosi hawa.

Nimejaribu kupakapaka rangi hayo maneno wakati natafakari I can't wait eti atabadilika lini kwani mimi nesi mpaka kuniandaa kuuguza migonjwa anayo jitafutia ???
 
jamani dad hata wewe kimya nakungoja usipoonekana hapa nakutaja ili nikutumie tume ya uchunguzi kujua maisha yako ya ndoa mhmh haya
 
Back
Top Bottom