telitaibi
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 551
- 107
Msaliti wa penzi zaidi ya mara kumi,mwonevu,selfish,si mwaminifu hata kwa biashara ya pamoja,mwongo,mkatili,ana wivu,muaribifu wa vitu vyako,mtapanya pesa,mfano mbaya kwa watoto na jamii iliyomzunguka,mnafiki,hajui kutambua kosa,mshindani wa ujinga,anaweza tumia masaa yote kuchat na makahaba hamjui hata mtakula nini kesho,na
bado anataka aonekane na jamii ni mwema au anayofanya ni siri ndani nje kujichekelesha.
je mtu 1 mwenye sifa hizo na ni mbaba wa familia hiyo familia inafuture?????????????
hebu tujadili mzigo wa mambo mabaya kwa mtu huyo huyo yeye kila ovu yuko anasaidika vipi kwani wengine wako hukuhuku wajiweke wazi tusaidiane na mikosi hawa.