Kila siku ye anataka tu, Mchana akirudi kazini usiku.....

Tafadhali bwana.
Hebu acha kutu judge wanaume wote kwa ulegelege wa bwana wako.
Pita njia hii na kwake hautarudi.
Unataka uanze maandalizi ya nguvu? Najua lazima
utafute mtaalamu la sivyo hakuna kitu hasa wewe
unaekesha ukiwa umepakata LAPTOP
 
tatizo sio kutaka tu.....

je alipokuwa anataka alikuwa anamuandaa mwenzie? au ndo kuparamiana tu kila siku binti wa watu auguze michubuko...

je alikuwa anajali hisia za mwenzie?

je alikuwa anaangalia na majukumu ya mwenzie? au mradi mihemko imempanda basi amparamie?

yaani akirudi hata kuzungumza na mkeo hamzungumze direct kuparamiana?

wanaume wanasahau kuwa wanawake wanaendeshwa kwa hisia, na maandalizi huanzia toka uko ofisini, unaweza mpigia mkeo mkazungumza, ukirudi keti na mkeo cheka nae , msikilize magumu yake, kama anapika nenda hata jikoni mchekeshe mfanye awe na hamu na wewe then maromance na ku-duu,

usikute mke ana frustration zake mume hamuulizi hata mkewe, hampetipeti anakimbilia kumpandia loh nani anataka mambo hayo....halafu ukute mara mbili kwa siku bao 3 (2x3=6 kwa siku, 42 kwa wiki) walaahiii hapo mke lazima afungashe...
 
mfano ungekuwa ni wewe ungelimudu hilo jembe,maana tatizo hapa sio chips kuku tatizo hapa ni kufanya ngono kama ubwabwa.
Ndio ishakuwa ndoa tena na tulikubaliana kwa shida na raha
hiyo ni shida yake kwanini nishindwe?
 
Unataka uanze maandalizi ya nguvu? Najua lazima
utafute mtaalamu la sivyo hakuna kitu hasa wewe
unaekesha ukiwa umepakata LAPTOP

taratibu mtoto wa kike.
sipakati laptop bali nakamata tablet.
sihiitaji maandalizi yoyote wa wachumba kama wewe
 
Ngono,,NGONO, Ngono,NGONO,Ngono,NGONO,Ngono,NGONO,NGONO,Ngono,NGONO,Ngono,NGONOOOOOOOOOOOOOO!!!
Mi nadhani hakuna tatizo kwani ni kitu ambacho kila
siku hasa usiku kinafanyika, si dhambi kwa upande mmoja
wakati kwa upande mwingine ni dhambi yaani inategemea.......
hivyo kama hatujisikii tunaweza kuhamia kwenye spot au
zile mada zetu zinazoongeza stress
 
we kweli mcharuko, just joke.
Unajua tatizo ni tafsiri ya hili neno MCHARUKO, kikwetu ni povu
la juu kwenye pombe hasa zile za kienyeji. Yaani ukiweka Pombe kwenye
Kidosho kuna povu linapatikana pale juu lile ndo huitwa MCHARUKO.
 
Anataka tuuuuuuuu. Alikuwa anataka upande gani? Inawezekana anataka upande uliokatazwa sasa kwanini wasikimbie?
 
Wanaume wengiwanaotamka haya maneno huwa hamna lolote

kama wewe ni jamii ya KE naomba niwe mpenzi wako kwa wiki kisha rudi hapahapa uandike observation yako...
ahsante
 
O.k nimekubali ombi lako ila itabidi tufanye kwa kushtukiza ili usitafute viagra.We bwana hata ukibisha ukweli ndo unabaki hivyo
 
TIGO haikuwapo kabisa miaka hiyo,
baada ya wanaume kuwa hawana nguvu,
ndo wanatafuta sehemu tofauti tofauti
hata mmefikia kurudi kule kwa nn nya.

sio kwamba TIGO ilikua inahusika ndio maana wahusika walikua wanasepa?
 
tehe najua watoto wa ki haya waliweza ku handle libido za jamaa, si unajua watoto wa kihaya tena lzm walimchanganya kwa katerero
 

hahaha mtachonga sana tuu lakini mwisho wa siku lazima mtapata dushelele zetu ata kama mnasema tupo lege lege
 
Katika maadiko matakatifu yanasema hivi mwanamke ni halali kwa mumewe hivyo anastahili kupewa kilicho chake muda wowote mahitaji yanapowasilishwa vivyo hivyo mwanamume ni halali kwa mkewe kwa hiyo kijana yule kutaka kila mara aludipo kazini ilikuwa halali yake kwanza alikuwa anaiheshimu ndoa yake badala ya kuhangaika nje yeye alikuwa anapeleka matatizo yake nyumbani kwa chaguo lake . wanaopingana na wazo hili nawauliza endapo kijana huyo angeamua kutofanya uaminifu kwa mkewe kila alipohitaji angepita nyumba ndogo kumaliza shida zake maelewano yangekuwaje siku ambayo angehisi mume wake kapita sehemu nyingine?????????? na kwa bahati mbaya siku hiyo mkewe naye pengine alikuwa amejiandaa kufurahi na mke wake???? kipindi hiki cha maradhi mengi badala ya kuhangaika kwenda zaidi nje shida unamalizia nyumbani hata kama ni kila saa nini siku. hivyo huyo dada hakumtendea haki mume wake au hakuyazingatia vizuri maandiko matakatifu.
 

Tena wanakupa na mistari ya kutosha kwamba kila kitu kifanyike 'kwa kiasi'
 
Hayo mambo yamekuwa makubwa kuliko ndo mana wanakimbia ndg
 
TIGO haikuwapo kabisa miaka hiyo,
baada ya wanaume kuwa hawana nguvu,
ndo wanatafuta sehemu tofauti tofauti
hata mmefikia kurudi kule kwa nn nya.
Tigo ilikuwepo tokea enzi za sodoma na gomora wewe!, sema kipindi hicho ilikua ngumu kwa mwanamke kusema kwamba kafanyiwa unyama.
 

Lakini hata hao wa dona, kwa kasi ya kutwa mara tatu kama panadol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…