Kila simu ni mzinga tu

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Wakuu
Naombeni ushauri, toka wiki hii imeanza napokea simu za kuombwa ela tu. Sio ndugu, rafiki, mpaka mpenzi wangu
Yani mpaka kufika Leo Ijumaa nimeshapigiwa simu zaidi ya 10 kutoka Kwa watu wangu wa karibu juu ya kuwasaidia matatizo mbalimbali

Sio kwamba mimi nina pesa sana, hapana kipato changu ni cha kawaida tu.Lakini nashangaa wiki hii kulikoni, unaweza kusema wameambiana Kumbe hata hawajuani

Nipo njia panda, natamani hata kuzima simu yani wote mizinga yao ni elfu 30,50 mpaka laki

Sasa sielewi wiki hii nimepatwa na nini
 
Ushauri wa nini sasa hapo?
Kama huna wafahamishe huna
 
alaaaaa ukionaa hivyoo jua tayriii ushageuzwaaaa baba mzaziiiiii mdaaaa na upendwiiiiiiiiiii
 
 

Attachments

  • f6c69d1919f1b668e30a9bdfc72fe3f7.jpg
    28.2 KB · Views: 47
Hali zao kiuchumi zitakuwa siyo nzuri... Na ndiyo nyakati za mishahara hizi kwa wafanya kazi...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…