Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
Kama timu inauwezo itapenya tu.Play of mara nyingi inazi favour Zile zinazotoka ligi Kuu....Utaratibu mbovu Sana
Kama timu inauwezo itapenya tu.
[/QUOTE
Na uwezo wa timu hizi unatokana na ubora wa timu unazokutana nazo kwenye mashindano, kwahiyo timu za ligi kuu ndo zinakuwa upande wa faida kwenye play off
Ushauri😛lay off ya kupanda inabidi zicheze wenyewe kwa wenyewe daraja la kwanza
😛lay off za kushuka inabidi zicheze zenyewe kwa zenyewe timu za ligi kuu
KIMSINGI ilibidi wa ligi kuu wacheze wenyewe na wa ligi daraja la kwanza nao wacheze wenyewe...!! Kwa ukubwa wa ligi hizo, kuwachanganya ni kutaka wa chini wabaki huko hukoCaosta union 3, Pamba 1
Aggr 5 kwa 3
kwa maana hiyo Timu hizi zinaenda kwenye ligi zao.
Mtibwa 0 Transit 1
Aggr 4 kwa 2
Kila timu inabaki ilipotoka,
Hakuna kuha mji,
Kipa wao Mzembe Sana,Dah,Pamba wanakwama wapi?
Sasa ndio PlayOff gani hiyo. Kumbuka hizi sio timu zilizoshuka wala kupanda straight.KIMSINGI ilibidi wa ligi kuu wacheze wenyewe na wa ligi daraja la kwanza nao wacheze wenyewe...!! Kwa ukubwa wa ligi hizo, kuwachanganya ni kutaka wa chini wabaki huko huko
Suala siyo jina sijui PLAY OFF au CHOCHOTE... Uzito wa ligi ni tofauti na usisahau ligi daraja la kwanza iliishia mwezi mmoja kabla ya ligi kuu..!!! Kuipumzisha timu kwa muda huo na ikapambane na timu imetoka karibuni tu kwenye ligi kuu si sawaSasa ndio PlayOff gani hiyo. Kumbuka hizi sio timu zilizoshuka wala kupanda straight.
Yaan za ligi kuu (Coastal na Mtibwa) hazikua mkiani, Wala Pamba na Transit Camp hazikuongoza Daraja la Kwanza.
Hakuna Playoff inayochezwa kwa timu zilizokua ligi moja
Mkuu Pamba wamejifunga goli moja tu la tatu kwa kosa la kipa.Kipa wao Mzembe Sana,
Goli mbili zote Wamejifunga. Nilipenda sana kumuona Ulimboka ligi kuu, sema Kipa na Mabeki wamemuangusha.
Tujipe matumaini kwa next season.
Play of mara nyingi inazi favour Zile zinazotoka ligi Kuu....Utaratibu mbovu Sana
Dah,Pamba wanakwama wapi?
Kipa mzembe kiukweli hata ile mechi ya kwanza goli la pili la kusawazisha la wagosi alisababisha yeyeKipa wao Mzembe Sana,
Goli mbili zote Wamejifunga. Nilipenda sana kumuona Ulimboka ligi kuu, sema Kipa na Mabeki wamemuangusha.
Tujipe matumaini kwa next season.
Kama hawawezi kuzifunga timu za ligi kuu kwanini wanataka kuja ligi kuu?. Au huku ligi kuu watakuwa wanacheza na timu zipi?.Huu utaratibu wa play off Karia alichemka, anatakiwa ajue timu za ligi kuu itakuwa ngumu kufungwa na hizi za chini ili zishuke daraja, anatakiwa aone utaratibu wake umefeli waubadilishe.
Ame copy & paste Ujerumani kwenye timu za daraja la kwanza zinazojiweza kwa uchumi, na ligi yenye ushindani, akahamishia huku kwetu bila kuangalia mazingira ya timu zetu za daraja la kwanza, hata udhamini hakuna.
Utaratibu wakipuuzi sana huu. Sheria hii ibadilishwe. Wanaoshuka washuke moja kwa moja na waliopanda daraja wapewe haki yao.Play of mara nyingi inazi favour Zile zinazotoka ligi Kuu....Utaratibu mbovu Sana
Kwani aliupanga karia ?Huu utaratibu wa play off Karia alichemka, anatakiwa ajue timu za ligi kuu itakuwa ngumu kufungwa na hizi za chini ili zishuke daraja, anatakiwa aone utaratibu wake umefeli waubadilishe.
Ame copy & paste Ujerumani kwenye timu za daraja la kwanza zinazojiweza kwa uchumi, na ligi yenye ushindani, akahamishia huku kwetu bila kuangalia mazingira ya timu zetu za daraja la kwanza, hata udhamini hakuna.
Msimu uliopita timu ya Ligi kuu ilifungwa na timu ya daraja la kwanza na kushushwa daraja unasemaje juu ya hilo ?Huu utaratibu wa play off Karia alichemka, anatakiwa ajue timu za ligi kuu itakuwa ngumu kufungwa na hizi za chini ili zishuke daraja, anatakiwa aone utaratibu wake umefeli waubadilishe.
Ame copy & paste Ujerumani kwenye timu za daraja la kwanza zinazojiweza kwa uchumi, na ligi yenye ushindani, akahamishia huku kwetu bila kuangalia mazingira ya timu zetu za daraja la kwanza, hata udhamini hakuna.
Msimu uliopita kuna timu ya daraja la kwanza iliwashusha Mbao FcKIMSINGI ilibidi wa ligi kuu wacheze wenyewe na wa ligi daraja la kwanza nao wacheze wenyewe...!! Kwa ukubwa wa ligi hizo, kuwachanganya ni kutaka wa chini wabaki huko huko