Kila timu ibaki kwao, hakuna kuhama mji

Huu ni upumbavu,timu zote za kushuka daraja Ligi Kuu zishuke directly na zinazopanda Daraja zipande directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother,
Timu zilizoshuka direct zipo, ambazo ni Mwadui, JKT, Gwambina na mwengine ni Ihefu. Na timu zilizopanda direct pia zipo.

Hawa wanaocheza playoff ni wale walionusurika kushuka direct v/s wale walionusurika kupanda direct.
 
Kama hawawezi kuzifunga timu za ligi kuu kwanini wanataka kuja ligi kuu?. Au huku ligi kuu watakuwa wanacheza na timu zipi?.
Watazifunga timu za ligi kuu wakishakutana nazo na kuzizioea kimashindano, kwa sasa ni kuwaonea tu, timu haina mdhamini wanaunga unga kila kitu, halafu unakuja kuwapanga na timu kama Mtibwa na Coastal zenye expirience ya kutosha sio fair ndio maana timu za ligi kuu huwa hazifungwi, muhimu timu za ligi kuu zikutane zenyewe ataefungwa ashuke.
 
Msimu uliopita timu ya Ligi kuu ilifungwa na timu ya daraja la kwanza na kushushwa daraja unasemaje juu ya hilo ?
Out of 100% timu ya daraja la kwanza kuifunga ya ligi kuu ni only 30% hii haitakiwi hakuna usawa, waligi kuu wakutane wenyewe, na daraja la kwanza wakutane wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…