Elections 2015 Kila uchaguzi unapoteza kura yako, hujachelewa badili maamuzi leo mpe Magufuli kesho

Lakini leo hii hata hao wachache hawathaminiwi badala yake limezuka kundi la mabedui wachache ndio wanaitafuna nchi watakavyo kwa kujiona ni mungu watu, Mwenyezi Mungu awalaani hao mabedui waliojificha kwenye jina la wazalendo

Maamuzi tunayo ya kuwaondoa mumiani,mafisadi na majizi.
 
Kwa mada hii kidogo tu kuna kitu nimejifunza. Nikweli Mh. Lowassa alishinda uchaguzi. Ila haya mafedhuli yanajifanya yanajua kuchezea haki za watanzani. Mungu atawalaani ipo siku yaja
Jamaa Lowassa hakushinda
 
Na turufu hiyo hatuipati tena walai
Kiukweli kabisa Katto ni alikuwa ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, ila basi tuu, ndio hivyo tena, akazidisha hadi akaharibu hivyo kumsababishia YEYE kukosa jinsi, kula kichwa kwa kumuita kwake!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…