Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Nenda Hospitali ukapime huenda una Presha ya macho ninakushauri pia uwe una jizoesha kabla ya kulala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku kisha uje unipe Feedback.Habari zenu wana jf
Mimi ninamatatizo ambayo yananikuta usiku tu nikifika kitandani kulala
1.macho huwa yanaanza kuwasha pindi nikifika tu kitandani wakati kutwa nzima nakuwa Niko
powaa
2.mafuwa huwa
yananiban sana nikifika tu kitandani kulala
3.meno
N.B
Yote hayo huwa
yanatokea siku tofauti
yani mfano Leo
yanakuwa mafuwa kesho macho siku nyingine meno
Nilikuwa naomba msaada wenu nifanyeje ili nipate tiba ya haya magonjwa yanayo niandama usiku tu nikilala
Haya asante kwa ushauri taanza leoNenda Hospitali ukapime huenda una Presha ya macho ninakushauri pia uwe una jizoesha kabla ya kulala kunywa
maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku
kisha uje unipe Feedback.[/
QUOTE]
Nenda Hospitali ukapime huenda una Presha ya macho ninakushauri pia uwe una jizoesha kabla ya kulala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku kisha uje unipe Feedback.