Kila ukuu kwenye maisha yako huhusisha mahusiano na watu wanaokuzunguka

Kila ukuu kwenye maisha yako huhusisha mahusiano na watu wanaokuzunguka

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
222
Hakuna aliyefikia hatua ya kuitwa mkuu bila kuwa na sifa zinazofaa mbele yake anayetakiwa kumfanya mwingine kuwa mkuu. Kila ukuu kwenye maisha yako hujalisha mahusiano na watu wale wanaokuzunguka. Ukuu wa kitu chochote hutegemea siyo bora mahusiano bali mahusiano bora. Kila hatua unayopiga kwenye maisha yako na ili iendelee mahusiano na wale wanaokuzunguka ni ya muhimu sana.
 
Back
Top Bottom