Kila unalofanya hapa ulimwenguni linajirekodi

Kila unalofanya hapa ulimwenguni linajirekodi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mfumo wa maisha ndio upo hivyo.wewe Ni Kama kifaa Fulani mfano computer ambacho kina uwezo wa ku save data zote.kwa hiyo ndio maana Kuna matukio uliyafanya zamani lakini bado yanazunguka akilini mwako.kwa hiyo hata haya unayoandika humu ndani jf jua kuwa yanajirekodi.kuwa makini na unachosema ,unachofanya na unachotenda.hakikisha unatengeneza kumbukumbu nzuri ili siku ya kufa,siku ya bwana,siku kubwa ambapo kifo kitakupata kikukute ukiwa na ma file yasiyo na virus,yasiyo na errors..hii ndio Siri kubwa iliyofichwa siku zote.siku ya kufa taarifa zote ulizohifadhi zitakuwa zikifunguka Kama Ni mbaya Basi wanasema utapata taabu Sana maana utakuwa unatamani usifute muda huo ila itakuwa ngumu Sana kuzifuta.zitakuwa zikikuchanganya changanya utalia Sana..lakini ukifa mweupe huna lawama na mtu Wala huna ubaya na mtu Basi relax kifo kitakuchukua kama ambavyo usingizi unakuchukua na unajikuta umelala.
 
Back
Top Bottom