Mkuu inaniandikia hivi nikiifungua hiyo chanel
ONE OR MORE ITEMS FAILED TO PLAY.CHECK THE LOG FOR MORE INFORMATION ABOUT THIS MESSAGE
Mkuu imegoma kabisa kufunguka hiyo azam 2.sijui tatizo nini??Okay...
Mkuu hapo tatizo ni connectivity tu...jaribu tena na tena kuifungua...
NB: Naamini hujakosea maelekezo...
yap bila kulipiaBila kulipia halafu online?
Bila kulipia alafu MB zinahusishwa? je kuna mahali zinapatikana MB bure?Nenda google andika azam media flash page ingia humo utaona azam nenda google andika cloud tv online utaona option nyingi chagua moja wapo enjoy ur self Mb zako tu star tv na TBC hao hawana jipya
Wakuu kuna plugin yeyote ya kuonesha wanyama kwenye kodi yangu msaada
Channels zote za animax,animal planet etc
Ndio mkuu.naweza pata?
Jamani nimeshindwa ku add startv na azam kama kunamtu Ana zip file anitumie
Link zipo humu humu kwenye post...mnataka kutumiwa nn...?Namimi nasubiri
Link zipo humu humu kwenye post...mnataka kutumiwa nn...?
Mm naomba mnitumie zip au file la startv tu coz azam nimefanikiwa kuiweka
Kaka mungu akubariki asante sana maana nimeangaika sana na nashukuru kitu kimeonyesha fresh
Naomba files za azam tv mkuu
duuuh!! hivi kuna watu wavivu hata huku?....kweli magufuli una kazi ya ziada