Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hizo supersport ktk simu yangu zinafunguka vizuri kuanzia saa 6 usiku
 
Narudi kutoka shukurani zangu za dhati kwa chief mkwawa na wengine wote walioniwezesha kutizama Uzi huu live kupitia IPTV plug in ya zem TV star sport 4 poleni kwa shabiki wa mancity
 
Wana JF mie nimeshindwa kudownload KODI kwenye Windows phone yangu (Nokia XL Dual) naomba msaada wenu wadau, lakini pia kwa Receiver ambayo ina IPTV option nawezaje kuongeza chanel ambazo sio pre installed? Msaada tafadhali!
 
kwa hio nokia umejaribu kueka apk file la toka website ya kodi?

na hio receiver ina sehemu ya kueka url?
 
Reactions: AMB
Mimi Samsung s3 imegoma ku install kodi msaada pls chief mkwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…