Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kwangu imekataa kwenye MX player hata kwenye kodi kwa kutumia playlist loader imekataa
umeeka nini kwenye mx? usiposema kitu ulichofanya inakuwa ngumu kujua umekosea wapi
 
pc haihitaji app just right click then chagua new then text document, kwa simu nimeandika app hapo juu tumia es file explorer
Thanks mkuu es file explorer nilishindwa itumia. so nikatumia file manager nyingine ipo playstore. Na mwanzo nilikuwa nashindwa kutengeneza text file hii nikatumia note pad nayo ipo playstore.
 
pc haihitaji app just right click then chagua new then text document, kwa simu nimeandika app hapo juu tumia es file explorer
Thanks sana kaka kwa kunipa darasa hii kitu nilikuwa natamani sana nikawa najiuliza unawezaje kuziweka tv zote na ukatengenezea file. I solute you..God bless you
 
Nilichofanya nimefungua MX player nikaenda sehemu iliyoandikwa network stream nikaingiza mfano 404 Not Found nikaseach ikagoma hivyohivyo kwenye vlc,sasa sielewi ninakosea wapi!
 
Thanks sana kaka kwa kunipa darasa hii kitu nilikuwa natamani sana nikawa najiuliza unawezaje kuziweka tv zote na ukatengenezea file. I solute you..God bless you
Mnisaidie na mimi jaman nimedownload kodi na pia kuinstal configuration ipt inasoma chanel 84 but sky sport,bin sport na zingine za michezo hazifungui
 
Kabelwa kwa leo hiyo link ni ya ITV lakini haipo online tangu jana usiku itapokuwa online utapata ITV vumilia.
 
Unavyoiona mwisho ndio iko hivyo 830,m3u8

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Unavyoiona mwisho ndio iko hivyo 830,m3u8

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mimi naangalia vizuri kabisa ITV kupitia vlc hapo mwishoni usipoweka nukta huwezi kuangalia kamweeee wewe weka kama nilivyo kuelekeza utanipa majibu...[emoji117] 830,.m3u8
 
Habari zenu wakuu leo nimedownload iptv ktk simu yangu nimeingiza playlist channels zinaonekana nyingi tu lakini nikiplay hazifunguki. Kwa wenye uzoefu na iptv app. naomba msaada nifanye nini ili channel zifanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…