Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

wakuu,
Amani ya Mola iwe nanyi.

imepita muda mrefu sasa toka channel za nyumbani zipotee ktk streaming ya kodi tumebaki tunatizama Azam 2 na star tv tu.
la ajabu ktk application inaitwa simu.tv tunaona hizo channel kama tbc.

kama kuja jipya lolote mtujuze.

asanteni sana
 
haya wakuu burudikeni kwa sasa, nitakuwa nawawekea hizo playlist kila mara, muwe mnapitapita hapa.
 

Attachments

Jamani za Bongo bado kidogo, lakini wakati tuko chimbo, basi si vibaya tukipata hizi kwanza.
 

Attachments

channels nyingi za mpira hapo. fungua hilo file utapata url link, copy and paste on your vlc player.
 

Attachments

Habar chief,Naomba link yenye Channel za nyumban km ITV,TBC na channel ten
 
Wadau wa kodi naomba kujua namna ya kuiludisha hii sportsdevil maana toka ipate update mwezi huu wa tano nashangaa imepotea
 
Naona wadau mmeshindwa kupata majibu ya jinsi ya kuipata hii sportsdevil
 
Ninaomba kufahamu jinsi ya kuangalia channels kupitia pvr iptv simple client naomba niwekewe step kwa step
 
Inanielekeza nipitie zip file sasa Kule ndio inagoma kuji enebled
 
Wadau wa kodi nimeseach google hii easy advanced setting inaonekana inaondoa zile buffering wakati unaangalia match nk.sasa je!ninaiseti vipi kulingana na mitandao yetu ya hapa tz! Naomba msaada.
 
Mkuu nimejarbu Ku install kodi hadi nimefkia hatua ya install from zip file kisha nika selekt DNA ili ilete hiyo Rapos haionekani ila kuna inayoonekana from root system na option zingine tu !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…