Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Mkuu nimejarbu Ku install kodi hadi nimefkia hatua ya install from zip file kisha nika selekt DNA ili ilete hiyo Rapos haionekani ila kuna inayoonekana from root system na option zingine tu !!!!
mkuu kama umefata maelekezo kikamilifu na bado unaona huelewi ujue pengine developer ame update hio repo.

jaribu kueka addons rahisi kwanza cheki store ya kodi kama watchmojo, engadget au aljazeera ikikubali utakuwa na uhakika kodi yako ipo sawa then utatafuta hizo addons nyengine
 
 
Nimeandika ile link baada kukubali done ndo ikaja hapo


Go back to your Home Screen
Select SYSTEM
Select Add-Ons
Select Install from Zip File
Select xfinity or whatever you named the repo
Select XunityTalk_Repository.zip
Wait for Add-on enabled notification
Select Get Add-Ons or Install from Repository
Select .XunityTalk Repository
Select Video Add-ons
Select Vdubt25
Select Install
Wait for Add-on enabled notification

fata maelekezo hayo toka hapo ulipoishia
 
Ok ngoja nijaribu mkuu shukran
 
Hapo nime select xfinity baada ya kutoka kuselect install from zip file
 
Hivi chief zile channel za kibongo ulizoweka bado zina piga kazi?maana nimeweka lakini zinasearch tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…