Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Naona channels za nyumbani sasa zote hazipatikani. Mwanzoni angalau Star tv na Azam two zilikuwa zinapatikana lakini zote giii. Kulikoni?
 
Naona channels za nyumbani sasa zote hazipatikani. Mwanzoni angalau Star tv na Azam two zilikuwa zinapatikana lakini zote giii. Kulikoni?
channels za nyumbani ziko offline, si unajua tena bongo ni mizinguo tu. Azam sport HD bado iko ON na moja ya kenya inaitwa Ebru, zingine ziko offline.
 
Kama kuna ujanja wa kuweka salio ktk halotel au voda halafu nitazame local channels ktk airtel app. naomba mnijuze wadau
hapana haikubali nimejaribu, nimesniff na wireshark pia sijaambulia kitu. sina simu ya android kwa sasa, mtu anaweza akaidownload ajaribu kucapture packet kama atajua wanatumia adress gani. unaweza kuta url zake hazina security ni app tu.
 
hapana haikubali nimejaribu, nimesniff na wireshark pia sijaambulia kitu. sina simu ya android kwa sasa, mtu anaweza akaidownload ajaribu kucapture packet kama atajua wanatumia adress gani. unaweza kuta url zake hazina security ni app tu.
Niliwahi kuitumia ile app. ya ttcl lakini bila kujiunga wiki moja wakanifutilia mbali yani wanadai username na password
 
yani wadau nimefanikiwa kudownloa app ya vodacom simutv nikalipia tsh 299 nimepata local channels 4. Channel 10, TBC, TVZ na Chaneli ya sabato
 


asante
 
Weka repository ya Navi X kwenye Kodi, utapata kila kitu. ili mradi unamtandao wa uhakika kama Smile
 
kwa mara ya kwanza natoa hii ktk JF / Angalia sport/ent/movies/documentary bure ktk webisite premium ya kulipia kwanza jiandikishe register.


ingia hapa:
https://livego.tv/signup.html

itakuuliza detail za credid card ingiza hizi details:
Visa: 4699 3791 2199 0127
cvv: 131
exp: 09/18
name: LAUREN WHITE

kwa maelezo zaidi mtasoma ktk hio website.

thanks
skydmx
 

Safi sana Mkuu,Hawa jamaa wanafanana kama offsidestreams hata kwa kucheki site na tutorial waloweka kutumia kwenye kodi inaonesha ni kama ma reseller.
Offside streams nao tumewafaidi sana kwa hizi trick ila wao kila baada ya siku tatu mpaka tano wana terminate transaction na account kwa sababu wanagundua order ilikua Fake nimewai ainisha hawa jamaa huko mwanzoni mwa hii thread

Je,Hii nayo haitakua terminated in few days au ndo utakua mchezo wa ku sign up kila baada ya siku tatu

so far mimi fresh tu nimefanya sana hii kitu service yao ni reliable sana sema mpunga ndo shida 🙂
 


MBC HD Links


[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MBC 1 HD
http://htq.ddn4.tn/iptv/ch827?code=090004037616173
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MBC 2 HD
http://htq.ddn4.tn/iptv/ch828?code=090004037616173
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MBC 4 HD
http://htq.ddn4.tn/iptv/ch829?code=090004037616173
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MBC Action HD
http://htq.ddn4.tn/iptv/ch1109?code=090004037616173
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MBC Variety
http://htq.ddn4.tn/iptv/ch1102?code=090004037616173
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…