Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Asante mkuu
 
ni latest hii? umeijaribu?
Yeah nimeijaribu mkuu ipo vzr ukifuata maelekezo yake, ila ckuifuatilia km n latest vrsn, kuna vifeo add-on 1 hv inaitwa cCLOUD, ebana hyo kitu n hatari, inacontain tv channels km 1000+, jaribu kwnz mkuu en km kuna latest version weka hapa.......
 
Mkuu hii issue ya playback failed, check on log 4 more information, ushawah jifunza wanafix vp......??
angalia kwenye log utaona ni error gani, ila most of time inakuwa ni link imekufa.
 
Naomba kuuliza, "Kwa wale tuliokuwa tukitumia Qsat kuangalia dst*, ilikuwa haili sana bando: je hizi Android box zikoje kwa ulaji wa bando?" Wastani kwa mwezi kiasi gani!?
Mkuu kwa hdtv mimi natumia gb2 hadi gb 4 kwa mechi moja tu. Hivyo kama unataka quality kubwa andaa kama gb 100 au zaidi kwa ufupi uwe na unlimited internet.

Ila kama utaangalia quality ndogo kama mobdro, uktvnow, etc unaweza tumia internet ya mb500 tu kuangalia mechi na mb zikabaki.

Hivyo quality hapa ndio itaongea zaidi, box zinakula internet kama simu au laptop au kuangalia youtube etc
 
Asante Mkuu.
Kwa hii hali ya magu wengi tunaweza kukwama kwenye mengi ila tu 'aluta continua'
 
Mkuu hapa naona cjakuelewa vizuri, GB 100?, mbn me nkiweka bando ya GB 2 naangalia mechi 2 kwenye kodi, na tofauti ni ipi kati ya laptop na tv box zote ziwe connected in wireless network, ipi itavuta bando kwa fujo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…