Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hawana mambo ya malipo hawa...naona kama kuna paypal logo!
 
Je naweza kuangalia vituo vya ndani ya nchi kama itv eatv startv channel ten etc?
 
G
o
 
mkuu naomba msaad wako wa namna ya kupata hiyo software ya kodi kwani nikijaribu kuidownload sipati kitu inaload tu then inaacha..!!
 
Nyumbani nimetumia kompyuta yangu ya zamani ambayo nimeweka Linux Operating System na XMBC-Kodi na kuinganisha mtandaoni kwa ajili ya burudani. Ni rahisi na nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…