Kila vuguvugu la kimkakati lilianzia katika vijiwe vya Kahawa, Zanzibar na Bara

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya Kahawa ndivyo vilivyokuwa vikitoa dira na mpango mzima wa nini kifanyike nani aende wapi, yupi akahamasishe alimradi mambo yaende swafi kabisa.

Binafsi nakikumbuka kijiwe nadhani ni cha mwisho kilichokuwa na kila aina ya data na msaada unaohitaji, wazee hawa hamna wasiokijua hata kama ulikuwa unataka kumuona rais ilikuwa simple tu, utaonyweshwe njia bila kukosea nacho kilikuwa Kariakoo kikijulikana kama Saigon, nadhani wazee wengi pale kwa sasa ni mahayati, Allah awasitiri palipo pema,
Tofauti na vijiwe vya nyakati hizi vingi ni vya watu waongo, wavuta bangi na udalali.

Hapo zamani kidogo vijiwe vilikuwa ndio chemchem au desk la kuchota na kutatua mambo magumu, au kutengeneza mambo magumu na yakafanikiwa, maana wazee wale walikuwa na kila mbinu ya kulishinda jambo lolote, kwa nguvu zozote ziwazo.

Soga la Jumapili, mwenye uelewa zaidi, juu ya mengi yaliyoanzia katika ngazi hii ya chini kabisa ambayo kwa sasa inadharauliwa na mabaa ya pombe kuthaminiwa karibuni tujadili.
 
Sasa hivi hakuna vuguvuguz ni mipango ya kutafuna na inaanzia top down sio vijiwe vya kahawa bali ni Cleopatra Motels et Al na kwenye vijiwe vya kahawa ni kujadili results
 
Wazee wa uswahilini zero brain wamehalibu sana siasa ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom