Tabora ila naweza kuja POPOTE mkuu kama kuna uhakika wa kipato mia miambiliUpo mkoa gani
Kila la kheri kaka wakati mwingine madili yanahitaji uwepo eneo la tukio kwa wakati lakini pia Dar kuna mtaji mkubwa wa watu japo kutoboa ni popote inategemea na mitego yakoSahihi kaka Ngoja nijipange mambo yakiwa sawa nakuja ila kwasasa bado mkuu ngoja niset mifumo kwanza
Sahihi sana nakuelewa sana kaka,Kila la kheri kaka wakati mwingine madili yanahitaji uwepo eneo la tukio kwa wakati lakini pia Dar kuna mtaji mkubwa wa watu japo kutoboa ni popote inategemea na mitego yako
Kuna muda unaomba kazi , nafasi inatoka unahitajika kufika kwa ajili ya interview, halafu mfukoni unakuwa hauna hata Mia mbovuSasa waga unaomba kazi za nini na upo "well-off"? π
Naombaga nikiwa gwaa sina kitu mfukoni
Kuna muda unaomba kazi , nafasi inatoka unahitajika kufika kwa ajili ya interview, halafu mfukoni unakuwa hauna hata Mia mbovu
Nitafanyia kazi ushauri wako maana nimeitwa interview post ya mwaka jana sasa wajiuliza mwaka mzima mtu huyo bado anashida na ajira hiyohiyo tu yani hana kazi nyingine anasubiri hiyo ajira pekeakeDah! Sasa mimi nakushauri usiwe unaomba kabisa mkuu, we komaa tuu na ngekewa yako ya kupata hela. π
Utafutaji una changamoto sana, ukichanganya na viimani fulani utafikiri kurogwa kabisa.Na ukute unatakiwa kutoka Missenyi kuja Dar kupiga interview. π
Au mtu anatoka Sumbawanga anakuja Dar kuoiga interview na anakosa. π
Watu 100 kutoka watu ishirini nafasi ni nyingi sana hizo watu tunaenda kwenye saili za watu 10000 na anahitajika mtu mmojaUtafutaji una changamoto sana, ukichanganya na viimani fulani utafikiri kurogwa kabisa.
Imagine walioitwa interview watu 100 wanaohitajika watu 20 tu.
Michezo ya Kubeti