Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,875 Reaction score 12,665 Mar 16, 2026 Thread starter #21 Mr Beach Boy said: Watu 100 kutoka watu ishirini nafasi ni nyingi sana hizo watu tunaenda kwenye saili za watu 10000 na anahitajika mtu mmoja Click to expand... Ajira za walimu wa kiswahili wanahitajika 90+ wameitwa 240k na upuuzi hizi ajira ni imani tu
Mr Beach Boy said: Watu 100 kutoka watu ishirini nafasi ni nyingi sana hizo watu tunaenda kwenye saili za watu 10000 na anahitajika mtu mmoja Click to expand... Ajira za walimu wa kiswahili wanahitajika 90+ wameitwa 240k na upuuzi hizi ajira ni imani tu
HOST NOT FOUND JF-Expert Member Joined Dec 30, 2023 Posts 1,192 Reaction score 3,486 Mar 16, 2026 #22 Mr Beach Boy said: Watu 100 kutoka watu ishirini nafasi ni nyingi sana hizo watu tunaenda kwenye saili za watu 10000 na anahitajika mtu mmoja Click to expand... Ndiyo maana Upande wa pili hawakosi wateja, kina Mwakatobe
Mr Beach Boy said: Watu 100 kutoka watu ishirini nafasi ni nyingi sana hizo watu tunaenda kwenye saili za watu 10000 na anahitajika mtu mmoja Click to expand... Ndiyo maana Upande wa pili hawakosi wateja, kina Mwakatobe
R_Breazy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2025 Posts 391 Reaction score 746 Apr 16, 2026 #23 Kazanazo said: Zamia dar mkuu mikoani huko utahaso sana kufika tu dar nimafanikio tosha kwa mahustler Click to expand... Nipo dsm mkuu nipe chimbo, Hali ni tete
Kazanazo said: Zamia dar mkuu mikoani huko utahaso sana kufika tu dar nimafanikio tosha kwa mahustler Click to expand... Nipo dsm mkuu nipe chimbo, Hali ni tete