*Hivi mmegundua kwamba Sasa hivi kila YANGA wakifungwa basi kuna mtu maarufu anatoka gerezani... walifungwa na Mbao Babu seya na mwanaye wakatoka gerezani, wakapigwa na prisons Sugu akaachiwa... Jana wamepigwa na mtibwa... Leo lulu out*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]