Kila zama na kitabu chake; Profesa Kabudi na komredi Polepole tunamiss sana mbwembwe zao siasani

Kila zama na kitabu chake; Profesa Kabudi na komredi Polepole tunamiss sana mbwembwe zao siasani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mambo yanaenda kwa kasi sana.

Vinara wa mbwembwe za kisiasa na lugha yenye lafudhi mwanana ndani na nje ya CCM Prof Kabudi na komredi Polepole wako kimya sana.

Jamani muwe mnajitokeza kwenye forum mbalimbali tusije tukawasahau 2025.

Nawatakia Pentecoste yenye baraka.
 
Walikuwa wanacheza ngoma ya mtawala, hata sasa wakiwekwa front line pia watacheza ngoma ya mtawala aliepo, CCM ni wasanii wazuri sana.
 
Ila umewaza mbali sana. Hivi waheshimiwa wale watoa macho na wataalamu wa hesabu za kuongeza na kwenda na moja kichwani kwa nini hawasikiki? Watu waliowahi kupewa ndege kwenda Madagascar kuchukua chupa 8 za juice Leo ziiii kimyaaa? Wazee wa Mavi8 Leo hawasikiki? Mungu fundi haki ya Nani!!!!
 
IMG_20210523_082845.jpg


Ila huyu mwamba ndio anampa kiburi Msukuma kuona wasomi hamna kitu. Huyu mzee wa jalalani alijitoa ufahamu kupitiliza
 
Back
Top Bottom