Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka maelezo basi kuhusu hilo dimbwi mkuu
Hili dimbwi lifukiwe limekuwa chanzo cha mazalia ya mbu waenezao malaria
Kwa nn usitupe sifa zake mkuu tulifikirie kwenye royal tour part 2?Ha ha ha, 😂 Lingekuwa Loliondo lingewekwa kwenye mgao wa Mama Loyo fasta tu.
Hilo ni eneo lenye uoto wa asili ambalo kwa kiasi kikubwa halijaathiriwa na shughuli za kibinadamu, ni eneo lililotapakaa mabwawa kadhaa, ni tambarare sana lenye vijito na mifereji ya maji ardhi. Limepakana au liko kwenye mpaka na msitu wa hifadhi ya Moyowosi. Kuna taarifa za uwepo wa wanyama aina ya viboko na Mamba .... Eneo hili lina hazina kubwa ya asili.Kwa nn usitupe sifa zake mkuu tulifikirie kwenye royal tour part 2?
Teh teh tehWeka maelezo basi kuhusu hilo dimbwi mkuu