Kilalangona chanzo cha mapato Jimbo la Muhambwe ilichokosa usanifu.

Ha ha ha, 😂 Lingekuwa Loliondo lingewekwa kwenye mgao wa Mama Loyo fasta tu.
Kwa nn usitupe sifa zake mkuu tulifikirie kwenye royal tour part 2?
 
Kwa nn usitupe sifa zake mkuu tulifikirie kwenye royal tour part 2?
Hilo ni eneo lenye uoto wa asili ambalo kwa kiasi kikubwa halijaathiriwa na shughuli za kibinadamu, ni eneo lililotapakaa mabwawa kadhaa, ni tambarare sana lenye vijito na mifereji ya maji ardhi. Limepakana au liko kwenye mpaka na msitu wa hifadhi ya Moyowosi. Kuna taarifa za uwepo wa wanyama aina ya viboko na Mamba .... Eneo hili lina hazina kubwa ya asili.
 
Lakini mkuu kilalangona haiwezi kusomama peke yake. Hapo vya kutangaza ni vingi tu ukianzia moyowosi huko na mapango yake ya ajabu ajabu huko Nduta mpaka Malagarasi na mabwawa yake ya Ilunde yanayoungana na Urambo huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…