Hata kama EL angekuwa hajajiuzulu uwaziri muu kwa skendo ya Richmond, ilikuwa, bado na itaendelea kuwa rahisi sana kwa ngamia kuingia kwenye tundu la sindano kuliko EL kuwa president wa nchi hiimna kazi! sasa hivi watu wanaangalia kwa umakini kwani your next president ni EL..
mna kazi! sasa hivi watu wanaangalia kwa umakini kwani your next president ni EL..
Mama Kilango naye awe anapima maneno anayoongea, anaropoka sana huyu mama yetu matamshi yake yanaweza kutafsiriwa vibaya na ikamharibia. Mambo ya kutokuwa na chuki ama kinyongo ayaweke moyoni mwake kuna haja gani ya kuyatamka hadharani unless anataka kujipendekeza kwa Lowassa! Na kwa nini awe na mawazo ya 'kuvamia' majimbo ya wengine wakati lake analo? Si awaache wanaowania kugombea kwenye majimbo hayo wao wenyewe ndio waseme ama wavalie njuga mapambano kwenye majimbo husika? Je ni background yake inafanya awe hivyo?
Mkuu umeanza kwenda low siku hizi.....sitaki kusikia huyo Lowassa!
Kigogo inakuwaje tena! mie sidhani kama AK ana sababu ya kuwa na chuki binafsi kwa Lowasa. Mie nadhani AK anaupigia kelele mfumo wa kifisadi uliopo uliopo Tz ambao lowasa yumo. Anataka mafisadi wafikishwe katika vyombo husika si kwa sababu anawachukia binafsi bali ni kwa sababu wamefanya matendo ya kifisadi na kuliingiza taifa katika umaskini. Kwa iyo kama ningekutana na AK akaniambia eti ana mchukia Lowasa sana nadhani nisingemuelewa kabisa angekuwa na matatizo binafsi.kama ni kweli basi huyu mama anatakiwa akapimwe akili and i started getting the feeling that what Sofia Simba said holds water
Ina maana aliyeandika haumwamini au, sasa kama watu wenyewe hauwafahamu, hawa hapa,Tupe source kwanza maanake
source eti magazeti ya Rostam (mtanzania)
mna kazi! sasa hivi watu wanaangalia kwa umakini kwani your next president ni EL..
1. Kilango amfagilia Lowassa
2. , alisema kwazi kuwa hana ugomvi wala kinyongo chochote na kiongozi huyo aliyewahi kuwa waziri mkuu.
FMES,
..Mama Kilango alipaswa kufafanua kwamba hana kinyongo na Lowassa, lakini ana kinyongo na matendo yake yaliyolitia taifa hasara kubwa.
..ingefaa sana Mama Kilango afafanue msimamo wake kuhusu suala hili, vinginevyo wananchi watakuwa na haki ya kuamini kwamba ameamua kujiunga na mafisadi.
FMES said:- Swali lilipaswa kuwa baada ya yote ya ufisadi yaliyofanywa na Mbunge aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Lowassa, akiwa kwenye madaraka je una kinyongo naye kama kiongozi mwenzio ndani ya CCM au huna? (Sasa katika kujibu swali Mama Kilango anatakwia kukumbuka kwamba Lowassa hajahukumiwa popote pale zaidi tu ya mahakama yetu ya wananchi.)
FMES,
..thank you very much.
..wote wawili, yaani muuliza swali[mwandishi], na muulizwa swali[kilango] kwa maoni yangu wana makosa.
- Hapana unless ni lazima tu umuhukumu Mama kilango maana sio siri ndilo hasa lengo lako, lakini kama ni fairness sielewi muulizwa swali anakuwaje na makosa sawa na muuliza, Mama kilango amesema hana kinyongo na Lowassa kama binadam akijbu swali aliloulizwa ambalo limesema Lowassa halikusema anything else,
- Katika siasa siku zote hujibu swali usiloulizwa unajibu uliloulizwa tu, kwa hiyo anyways uamuzi ni wako maana naona ni lazima Mama Kilango awe na makosa tu ndiyo itakupa raha, lakini mwenye akili akisoma hapa ataweza kuchambua pumba na mchelle ulipo!
..lakini kwa hali ilipofikia, ningetemea Mama Kilango afafanue kwamba hapendezwi na mwenendo wa Lowassa alioisababishia taifa hasara kubwa. kinyume chake labda yeye na Lowassa ni damu-damu.
- Nafikiri nimesema tayari katika siasa hujibu swali ambalo hujaulizwa, na muandishi anazo akili za kujua kwamba Lowassa hajahukumiwa kwenye sheria yoyote Tanzania, ndio maana asingeweza kuuuliza swali linalotakiwa. Hayo mengine ni speculations tu zisizo na facts ambazo JF siku hizi tunaanza kuwa very good at!
NB:
..kwa upande mwingine ukiangalia hayo majibu ya Mama Kilango kwamba hajatoa hela kwa ajili ya jimbo la Lowassa, mara adai hata hajui Monduli iko wapi, mara kuna kampeni chafu etc etc. hivi huoni kwamba ina-sound kama vile Mama Kilango amekuwa "compromised"?