Kile kiapo cha damu hiki hapa

Kwa ninavojua menstrual blood ni sumu

Haiwezi kuwa sumu kwa sababu imetoka mwilini mwa mtu na ingeweza kubaki bila madhara (in case fertilisation imetokea,) inakuwa uchafu ikitoka nje maana inakuwa imekutana na bacteria na uchafu wa nje.
 
Haiwezi kuwa sumu kwa sababu imetoka mwilini mwa mtu na ingeweza kubaki bila madhara (in case fertilisation imetokea,) inakuwa uchafu ikitoka nje maana inakuwa imekutana na bacteria na uchafu wa nje.

Sumu inatokana na kuwa ile damu haikua designed kuliwa au kurudi kwenye njia ya chakula.
Ni uchafu.Ni zaidi ya kula kinyesi.
Ok menstrual blood ni dawa.Ila katika jamii yangu ni sumu.Nasikja inaua taratibu na utakufa zaidi ya mgonjwa wa UKIMWI
 
Kiapo Ni Vile Vya Zamani Vile Vya Series Za Kikorea (SAGEUKS)Kila Mtu Anajikata Damu Zinachanganywa Afu Zinanywewa.
Aaaaaaarrgghhj Gross!
 
Aiseee ni noma😕hapo ukitaka kuchepuka nahisi mchepuko unageuka mbuzi
 
mh jaman,,,,sasa mshana jr mm nshawah kula kakiaopo kama kwa kwenye muvi lakn,,,na scene yenyewe ilikuwa hv alichanja kidole changu damu ikaenda chin nikachanja chake nikalamba,,,hapo vp mkuu mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Hiyo haina shida kwakuwa ni maigizo lakini hamkupaswa kufanya kiuhalisia namna hiyo kwakuwa wazo zima ni kitu cha kufikirika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…