Kile kiapo cha damu hiki hapa

mshana jr asante kwa kunitag, Nilishuhudia bibi mmoja akilelewa na mtt wa rafik yake sababu yy hajazaa na alipewa mtt huyo amlee angali mchanga. wenyewe wanaita Yamini.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
We mzushi tu ngoja mshana jr anipe recipe ya limbwata nimpe anayeeleweka kwako nimemwaga manyanga

Na mie nasubiria limbwata sitaki kwenda kwa mganga.. mshanajr niokoe nina billionea mmoja ila hela anazonipa akinipa sana 800,000 ninachijifunia kutoka ni kajigari cha nyongeza..
Sasa i want more limbwata please!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Na mie nasubiria limbwata sitaki kwenda kwa mganga.. mshanajr niokoe nina billionea mmoja ila hela anazonipa akinipa sana 800,000 ninachijifunia kutoka ni kajigari cha nyongeza..
Sasa i want more limbwata please!!!!!

Hahaha hahaha... Shosti limbwata lazima limhusu.... Hicho kigari anatakiwa aki upgrade liwe Ligari... mshana jr hebu jisogeze huku... Halafu uje na limbwata lenye recipe rahisi sio kutaja vitu ambavyo havipatikani...

Mwaka huu nimetangaza hali ya hatari amu mpaka wengine wameanza kujirudisha kabla sijawafanyia hata limbwata... Cc Shark
 
Last edited by a moderator:

Mambo ya MziziMkavu tutafute popo asiyekojoa mie sitaki....
Aweke recipe inayoeleweka tufanye mambo...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…