Kile kikosi chetu Cha JW kilichowapa raha M23 mnamo mwaka 2013 Kiko wapi?

Nkerebhuke

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
796
Reaction score
2,026
Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa. Natamani kujua ukweli dhidi ya huu uonezi, na kwanini vikosi vya M23 vinapata ushindi kirahisi sana.
 
Kuna nchi zilichangia vifaa vya kisasa sana kwenye operation ile. Kwasasa havipo.

Wakati huohuo kwa sasa M23 / jeshi la Rwanda wana mpaka mobile air defense systems na GPS jammers.

Kazi ni ngumu kwelikweli, M23 na Rwanda kwenye usasa wa vifaa wako hatua kadhaa mbele.

Lakini pia sie tuko pale kuwa support wenyeji, hatuna maamuzi kamili ya nini kifanyike.
 
Unafahamu kuwa mwaka ule mwakiborwa alipewa nishani ya mpiga mizinga Bora, usije kuwa underrate JW kwenye medani hata kidogo, kwenye op, vitu vingi tulifanya sisi, intelligence, logistics, strategies zilikuwa chini yetu. Artillery baadhi zilitoka kwetu. Kwa sasa hakuna jeshi ambalo hawana mobile air defense system mazingira ya vita yamebadilika sana
 
Najua kazi ya JW, hata hiyo vita ingekiwa yetu kwa 100% hao vibaka wangekuwa mbinguni kitambo sana, tena huwa tunamaliza kazi kwa 100%.

Lakini kipindi kile support na logistics zilikiwa vizuri zaidi ya sasa.
 
Kuna nchi zilichangia vifaa vya kisasa sana kwenye operation ile. Kwasasa havipo.

Wakati huohuo kwa sasa M23 / jeshi la Rwanda wana mpaka mobile air defense systems na GPS jammers.

Kazi ni ngumu kwelikweli, M23 na Rwanda kwenye usasa wa vifaa wako hatua kadhaa mbele.

Lakini pia sie tuko pale kuwa support wenyeji, hatuna maamuzi kamili ya nini kifanyike.
Yeah!....mazingira ya sasa na ya mwaka 2013 kuhusu huo mzozo ni tofauti mno.

T14 Armata
 
Usirudie mbinu zilozokupa ushindi hapo mwanzo. M23 walienda kujipanga wakati wapinzani wao wamerudi na mbinu zile zile.
 
Kuna nchi zilichangia vifaa vya kisasa sana kwenye operation ile. Kwasasa havipo.

Wakati huohuo kwa sasa M23 / jeshi la Rwanda wana mpaka mobile air defense systems na GPS jammers.

Kazi ni ngumu kwelikweli, M23 na Rwanda kwenye usasa wa vifaa wako hatua kadhaa mbele.

Lakini pia sie tuko pale kuwa support wenyeji, hatuna maamuzi kamili ya nini kifanyike.
Acha ujinga kutukuza hao mgambo,2013 FIB walipewa meno ya kupambana na tz na wengine waliambiwa waje na silaha zao,leo ni kulinda amani tu na silaha mnazikuta congo
 
Kuna nchi zilichangia vifaa vya kisasa sana kwenye operation ile. Kwasasa havipo.

Wakati huohuo kwa sasa M23 / jeshi la Rwanda wana mpaka mobile air defense systems na GPS jammers.

Kazi ni ngumu kwelikweli, M23 na Rwanda kwenye usasa wa vifaa wako hatua kadhaa mbele.

Lakini pia sie tuko pale kuwa support wenyeji, hatuna maamuzi kamili ya nini kifanyike.
Wenyeji wenyewe wanakimbia battle field
 
Legacy ya kikosi cha FIB

View: https://m.youtube.com/watch?v=aVR8Y0l-YU0
Wengine wanasema kwamba majeshi ya Umoja wa Mataifa ni washiriki katika mzozo huo wakati Umoja wa Mataifa unashiriki katika uhasama sambamba na kikosi kilichoanzishwa kwa ajili ya kushurutisha kutekeleza sheria cha FIB kinachojumuisha askari wa South Africa, Tanzania Malawi.

Hata hivyo, kiwango kinachotumika kubainisha kiwango cha uhasama kinapaswa kuwa cha juu zaidi ili kufafanua migogoro ya kivita katika maeneo mengine. Bado, wengine wanaamini kutumia kipimo cha sehemu nne kuamua ni lini kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kinashiriki katika mzozo. [18]

Suala la pili na matumizi ya FIB ni ukaribu ulifanya kazi na FARDC. Hati ya mwanzilishi wa FIB inabainisha kuwa FIB inapaswa kufanya kazi pamoja na FARDC. [19] Ushirikiano huu ulifanikiwa kwa kushindwa kwa M23.

Walakini, hivi karibuni mambo yalibadilika kati ya FIB na FARDC. Wakati wa kampeni dhidi ya ADF, FIB ilijifunza kwamba baadhi ya wanachama wa FARDC walishirikiana na ADF kwa njia nyingi.

Baadhi ya maafisa wa FARDC walishirikiana na ADF kumuua mkuu wa kampeni ya FIB/FARDC. Maafisa wengine wa FARDC walitumia magari ya kijeshi ya MONUSCO kusaidia wanachama wa ADF katika ulanguzi wa mbao.

Zaidi ya hayo, FIB ilimuunga mkono Jenerali Mundos, jenerali wa FARDC ambaye alifadhili na kuwapa ADF silaha, risasi, na sare za kijeshi kutekeleza mauaji huku askari wa FARDC wakilinda eneo hilo ili kuzuia wahasiriwa kutoroka. [20]

Kwa sababu ya ukiukaji huu (na mwingine), FIB inapata changamoto kufanya kazi na FARDC. Sababu moja ni Sera ya Haki Kutokana na Haki za Binadamu (HRDDP). HRDDP inakataza Umoja wa Mataifa kuunga mkono vikosi vya usalama visivyo vya Umoja wa Mataifa wakati kuna sababu kubwa za kufikiria kuna hatari ya kweli kwamba washirika wasio wa Umoja wa Mataifa watafanya ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa za kibinadamu, haki za binadamu, au wakimbizi.

Kwa sababu ya rekodi ya FARDC ya kukiuka sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuna kizuizi kinachozuia FIB na FARDC kushirikiana. [21] Hata kama MONUSCO ingeshinda ukiukaji wa haki za binadamu kufanya kazi na FARDC, idadi ya raia ingeiona FIB kama iliyohusika katika unyanyasaji wa FARDC. Sio tu kwamba idadi ya watu ingeona FIB kama iliyohusika na FARDC, lakini pia kama fisadi kama FARDC. [22]

Suala la tatu kuhusu matumizi ya FIB ni utekelezaji wa mkakati wa kisiasa. Mafanikio mapya ya FIB katika kuwashinda M23, lengo lao lilikuwa kwa kundi la waasi la ADF. Hata hivyo, ADF imeonekana kuwa mpinzani mgumu zaidi. Ugumu huu haukuwa wa kijeshi sana bali ulikuwa wa kisiasa. ADF ikawa sehemu ya jumuiya kupitia mahusiano na machifu wa eneo hilo, ndoa katika jumuiya mbalimbali za Kongo, na uhusiano na wanamgambo wengine na maafisa wakuu wa jeshi. [23] Upachikaji wa ndani wa ADF unaweza kuonekana kama kufanya jambo ambalo FIB na MONUSCO hawakuweza: kutekeleza mkakati wa kisiasa.
 
Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa. Natamani kujua ukweli dhidi ya huu uonezi, na kwanini vikosi vya M23 vinapata ushindi kirahisi sana.
Vita haipiganwi hivyo,ni lazima mazingira ya kuingia vitani ni pale tu usalama wa tanzania utakapokuwa mashakani hapo ndipo jwtz itaingia vitani
 
Unafahamu kuwa mwaka ule mwakiborwa alipewa nishani ya mpiga mizinga Bora, usije kuwa underrate JW kwenye medani hata kidogo, kwenye op, vitu vingi tulifanya sisi, intelligence, logistics, strategies zilikuwa chini yetu. Artillery baadhi zilitoka kwetu. Kwa sasa hakuna jeshi ambalo hawana mobile air defense system mazingira ya vita yamebadilika sana
Hiyo mobile air defence inafanyaje kazi?
 
Teknolojia ya M23 kwenye medani ya vita imekua sana kwasasa, wakithubutu watachapika kweli kweli.
 
Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa. Natamani kujua ukweli dhidi ya huu uonezi, na kwanini vikosi vya M23 vinapata ushindi kirahisi sana.
KIKOSI BORA KABISA CHINI YA MWAMBA KABISA AFANDE MWAKIBOLWA
 
Back
Top Bottom