Kile kinachoendelea Uganda ni sawa na zimwi la maonesho Afrika

Asante sana prof kwa ushauri na maoni yako juu ya uboreshaji wa kile nilicho eleza katika makala yangu.
Pili natambua umuhimu wa maoni, Rai na uboreshaji hivyo najua kuwa kwa namna mmoja yawezekana makala yangu isikizi maudhui yote hivyo naheshimu pia mchango wa wachambuzi wengine kwa kuongezea pale ambapo mimi sikuelezea ili kupanua wigo wa maarifa kwa wote humu ndani ya jamvi letu.

Asante. Ulakoze chane nawe
 
Biggest up Bro makala nzuri sana nafikiri hii ni formal series basi jitahidi kuzingatia usahihi wa kisarufi kuna mahali pengi unashindwa kutofautisha 'L' na 'R' pia statistics zipo twisted kidogo.

Kudos.
Ok kaka Asante kwa ushauli kaka nitaufanyia kazi
 
Mimi ndio nilikuwa mjf wa kwanza kukoment hapa punde tu baada ya kuweka bandiko lako.

Nikirekebisha baadhi ya vitu na kuzungumzia idadi ya walio uliwa na Idd Amin lakini leo sizioni [emoji14]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…