Shalom Shalom!
Leo ni siku ya pekee ambayo waumini Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) wanaadhimisha uwepo wa kanisa hili kwa miaka 85 sasa. Kanisa hilo lilikuwepo tangu kabla wa uhuru wa Tanganyika. Kwa mengine mengi kuhusu kanisa hilo tangu kuanzishwa hadi sasa tafadhali karibu usikilize kinachoendelea.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa.