Kilele cha mafanikio kwa simba 2016-21

Kilele cha mafanikio kwa simba 2016-21

Kigizo jr

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
12
Reaction score
9
Kwa lugha nyepesi au ngumu waweza kusema s kuwa safari ya mafanikio ya simba kwa sasa ipo kwenye hatua ya mwisho kwa kutumia mfano wa bidhaa sokoni.
Product life cycle ina stage zipatazo nne:-
i. introduction stage
ii. Growth stage
iii maturity stage
iv diminish stage
Ivyo kwa simba ya sasa ni wazi wapo stage ya nne baada ya mafanikio ya mwaka jana 'na kwa kuangalia current performance kwa kuangalia na ya mwaka jana. Wachezaji wanaonekana kuwa 'na uchovu baada ya kutumika kwa mda mrefu, kutokuwepo kwa top player wa wili.

-
 
Mwamedi amewaingiza king na bilion20 hewa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila wabongo, kaangalie msimu uliopita simba baada ya mechi mbili alikuwa na point ngapi na goal diff ya ngapi.
Tutarajie mafanikio zaidi kwenye champions league zaidi ya msimu uliopita waarabu walipo kuwa 'na corona 'na sasa hawana
 
Kwa lugha nyepesi au ngumu waweza kusema s kuwa safari ya mafanikio ya simba kwa sasa ipo kwenye hatua ya mwisho kwa kutumia mfano wa bidhaa sokoni.
Product life cycle ina stage zipatazo nne:-
i. introduction stage
ii. Growth stage
iii maturity stage
iv diminish stage
Ivyo kwa simba ya sasa ni wazi wapo stage ya nne baada ya mafanikio ya mwaka jana 'na kwa kuangalia current performance kwa kuangalia na ya mwaka jana. Wachezaji wanaonekana kuwa 'na uchovu baada ya kutumika kwa mda mrefu, kutokuwepo kwa top player wa wili.

-
Never underestimate Simba, naamini watachukua tena
 
Ila wabongo, kaangalie msimu uliopita simba baada ya mechi mbili alikuwa na point ngapi na goal diff ya ngapi.
Timu inaweza ikafungwa michezo mitatu lakini wakaonesha kiwango bora kabisa na kufungwa. Lakini tumu hii ya Simba inavyicheza mpira wao ni mpira wa kiwango cha chini mno.
 
Back
Top Bottom