amefungwa Leo au?Mwamedi amewaingiza king na bilion20 hewa🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo nyie uto ndio mnazaliwa?
Never underestimate Simba, naamini watachukua tenaKwa lugha nyepesi au ngumu waweza kusema s kuwa safari ya mafanikio ya simba kwa sasa ipo kwenye hatua ya mwisho kwa kutumia mfano wa bidhaa sokoni.
Product life cycle ina stage zipatazo nne:-
i. introduction stage
ii. Growth stage
iii maturity stage
iv diminish stage
Ivyo kwa simba ya sasa ni wazi wapo stage ya nne baada ya mafanikio ya mwaka jana 'na kwa kuangalia current performance kwa kuangalia na ya mwaka jana. Wachezaji wanaonekana kuwa 'na uchovu baada ya kutumika kwa mda mrefu, kutokuwepo kwa top player wa wili.
-
Timu inaweza ikafungwa michezo mitatu lakini wakaonesha kiwango bora kabisa na kufungwa. Lakini tumu hii ya Simba inavyicheza mpira wao ni mpira wa kiwango cha chini mno.Ila wabongo, kaangalie msimu uliopita simba baada ya mechi mbili alikuwa na point ngapi na goal diff ya ngapi.
Kaangalie na kiwango pia ukitaka....Timu inaweza ikafungwa michezo mitatu lakini wakaonesha kiwango bora kabisa na kufungwa. Lakini tumu hii ya Simba inavyicheza mpira wao ni mpira wa kiwango cha chini mno.
Hakuna kiwango kilichooneshwa utafikir timu ya daraja la kwanzaKaangalie na kiwango pia ukitaka....
Nimekwambia kaangalie kiwango cha simba msimu uliopita.....Hakuna kiwango kilichooneshwa utafikir timu ya daraja la kwanza