Kilemba ameacha wapi?

First Lady wetu ni mzuri sana na ukiona mtu anaonekana uzuri wake mpaka uzeeni basi ujue ujana wake alikuwa ni mzuri mara 100
 
Akha babu kubana nywele siku mojamoja, mavilemba kila kukicha inahuuuuuuuu, sura yenyewe inalipa sema tu mambo ya dini/imani yanambana, kama sio hivyo mbona mngekoma....
 
Kapendeza kweli ila hayo maua sijui walimuwekea ya nini kichwani.?
 
Si haba na ni bora aache kufunika kitambaa, mbona ni mrembo tu
 
Huwa hakosei kwa wote anaowachagua
 
Waislamu huwa hawali kwa mkono wa kushoto. Kwahiyo hiyo protoko inayozungumziwa hapa ni dhahiri si ya kiislamu. After all hivi hizi protoko aliziweka nani kiasi kwamba inakuwa ni big deal ukizivunja????!!!!!!!!!!!!!!!!
 
First Lady wetu ni mzuri sana na ukiona mtu anaonekana uzuri wake mpaka uzeeni basi ujue ujana wake alikuwa ni mzuri mara 100

Huyu mama hana uzee kivile jamani! Sidhani hata ana miaka 45 she is still very young.
 
Waislamu huwa hawali kwa mkono wa kushoto. Kwahiyo hiyo protoko inayozungumziwa hapa ni dhahiri si ya kiislamu. After all hivi hizi protoko aliziweka nani kiasi kwamba inakuwa ni big deal ukizivunja????!!!!!!!!!!!!!!!!

Nadhani hata uma na vijiko ni haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…