Good Analysis mdau.Nilichojifunza kwenye Kili Marathon na NBC Dodoma Marathon
Kwanza, Hawa wote wawili huwa wanatumia barua ( Official Letter) kwa Taasisi na Idara zote za Serikali ya JMT pamoja na Makampuni Binafsi Makubwa kuomba Wafanyakazi wao waweze kushiriki ukiwa pamoja na kuwalipia ada za ushiriki na posho za safari.
Ikumbukwe kuwa Taasisi za Serikali na Makampuni Wana Sera za Corporate Social Responsibility ( CSR) Kwahiyo kupitia fungu hilo la bajeti husaidia kuwawezesha watumishi wa Serikali na Makampuni Binafsi kushiriki.
Kili Marathon huwa anaonekana kinara kutokana Hana MPINZANI au mshindani wa biashara yupo Neutral lakini ukija kwa haya Mabenki kama imeandaliwa na NBC usitegemee Wafanyakazi wa Benki zingine kushiriki kwa maana hao wanaonekana ni washindani wao
Sasa kwa Upande wa NBC pia hamasa imetokana na ushiriki wao wa kufadhili ligi kuu ya Tanzania, ambao mashabiki wengi wa Moira wa miguu wamejitokeza na walioteka sehemu mbalimbali kwa sababu Dodoma ipo katikati ya nchi kwahiyo ni rahisi mashabiki wa Mpira wa timu mbalimbali kujichanganya na kukodi Coaster kutoka Tabora, Singida, Morogoro, Iringa, Tanga, Mbeya, Manyara, Arusha, nakadhalika kuweza kusafiri na kushiriki hiyo Marathon
Ndiyo. Kwa sababu Hana mshindani wa Biashara. Lengo la Kili Marathon huwa ni utalii wa marathon ndiyo maana nchi mbalimbali hushiriki mbio hizoGood Analysis mdau.
So hapo Kili ni super?
Lazima nishirikiUtashiriki?
hii imejikita kwenye shughuli za kijamii kwa kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya afya, ikiwemo huduma za afya ya mama na mtoto pamoja na magonjwa mbalimbali kupitia ushirikiano na taasisi za afya.
Kumbe kuna kulipia? Makampuni makubwa kama haya yanayofunga record profits kila mwaka yanafanya michango kwa ajili ya social responsibility?zikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia huduma za afya kupitia CRDB Bank Foundation.
Labda wako kwenye mpango...Kumbe kuna kulipia? Makampuni makubwa kama haya yanayofunga record profits kila mwaka yanafanya michango kwa ajili ya social responsibility?
Halafu mbona bolt hawajaja na marathon yao? Hizi marathon zinafaa sana kwa kampuni kama bolt kujitangaza.
Wakimbiaji wale wa ushindani ni wachache.
Zawadi mshind wa kwanza nadhani ni 15 Mill.
Sasa hawa wengne wanaenda kula bata.
Na baadhi ya Ofisi zinatoa ruhusa na posho kuhimiza wafanyakaz wao washiriki. Ila ni kama wasindikizaji.
Baada ya kusindikiza Wakimbiaji.
kinabakia ni Pombe, nyama choma na kunyanduana.
Ni kama Kijoint together flan hivi.
Na kama demu mnafanya nae ofisi moja . Mkifika kule mnachukua room moja. Kunachobaki ni Humu tu humu tu😊😊😊😊.
Niliwah kushiriki mara moja.
Nilipelekwa na ofisi.
Sawa Mkuumajukumu yananizidia
Unakimbia wewe?
No reforms No AfconTusubiri Summertides itakayofanyika Coco Beach kabla ya Mashindano ya Afcon huko itakuwa balaa