Kili Marathoni Vs NBC Dodoma Marathoni Vs CRDB Marathoni

Ipi ni Marathoni bora na yenye tija zaidi kwa Tanzania?

  • Kili Marathoni

  • NBC Dodoma Marathoni

  • CRDB Marathoni

  • Zote ni bora.


Results are only viewable after voting.
Hua nashindwa kuamini unatoka mkoa wako unaenda mkoa mwingine kwa ajili ya kukimbia tuu, lazima kuwe na sababu nyingine nyuma yake.

Kwamba unatoka Dar unaenda Dom ili ukimbie tuu kisha urudi Dar
Mbona humshangai mtu anatoka Geita kwenda Dar kuangalia mpira tu,au utasemaje kwa huyu naye...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…