Wamaasai wanaotengeneza umashuhuri kwa kasi sana Ulimwenguni, lakini hapa Bongo kama watu hawana habari nao kabisa,
Wanaweza kutoboa kimaisha mambo yakiendelea kama yalivo, ila huyu kijana wakiume mda mwengine kwenye hizi interviews namuhisi kama ameanza majivuno, kwa kweli bado ni mapema sana kuwa hivo inaweza kumuharibia.