Kitu ambacho afahamu ni kwamba kila mtu anamlia mingo huyo dada. Kuna siku atakuja kugungua ni too late
View attachment 2038636
mitandao bana ya ajabu sana,huyu ndugu katokea ticktok huko huko,sababu tu kaja na kitu tofauti.kwa sasa ni mtu anapiga story na akina ibrahimovic,na itajiri wake ni zaidi ya tillion za ulanzi 2.tokea familia duni africa magaribi huko mpaka dunini kwa washua.
hawa wamasai sitashangaa kesho na keshokutwa kujikuta wanaishi maisha tofauti labisa,sema dada mtu lazima ataangukia kwenye mikono ya vijana wa hovyo.
Mimi naona ni harakati za kutupotezea muda kwa mambo yasio ya msingi ili kutuweka kwenye engo ya umaskini wakati wote.Hii dunia ina mambo ya ajabu sana, yani mambo ya kipuuzi ndio yamegeuzwa mambo ya msingi ya watu kushabikia, kupiga pesa na kutengezea umashuhuri.
Mimi naona ni harakati za kutupotezea muda kwa mambo yasio ya msingi ili kutuweka kwenye engo ya umaskini wakati wote.
Watu wanapenda nechuro! Hahahaa!Huyo dadaake ndio tunaemtupia macho
Watu wanapenda nechuro! Hahahaa!