Kili Stars itapigwa na Uganda kipigo cha mbwa koko

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Kuna baadhi ya vitu hata uwe umzalendo kiasi gani,ila facts zikigoma ujue hamna nanma. Kwa kili Stars mbele ya Uganda Facts zinagoma kila idara. Wachezaji wetu hawafungi,hawamiliki mpira,hawana skills za kutosha,hawawezi kudrible(Wachache ndo afazari), Hawana uelewano,Hakuna viungo wabunifu, na pia hawana nguvu alafu bado mtu uwe na matumaini mbele ya Uganda iliyo fiti kila idara!! Kocha mwenyewe hana cha ziada. Nitakua wa mwisho kuamini Kili.Stars itashindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wenzangu wa mikeka tushaziona goli 3 za Uganda FH zile walizotuhurumiaga za kwendea AFCON wanazi double 😝😝😝
 
Eti hawamiliki.... Mechi zote 3 wameongoza possession 54, 51,51 au Wewe ulitaka wamiliki kiasi gani?
 
Kuna baadhi ya vitu hata uwe umzalendo kiasi gani,ila facts zikigoma ujue hamna nanma. Kwa kili Stars mbele ya Uganda Facts zinagoma kila idara. Wachezaji wetu hawafungi,hawamiliki mpira,hawana skills za kutosha,hawawezi kudrible(Wachache ndo afazari), Hawana uelewano,Hakuna viungo wabunifu, na pia hawana nguvu alafu bado mtu uwe na matumaini mbele ya Uganda iliyo fiti kila idara!! Kocha mwenyewe hana cha ziada. Nitakua wa mwisho kuamini Kili.Stars itashindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo game nilin
 
Kuna kila dalili Uganda na Kenya kukutana fainali. Sisi tupambane tu walau tuichukue nafasi ya tatu. Kuwatoa Uganda kwenye ardhi yao ya nyumbani ni jambo linalohitaji nguvu ya ziada kwa timu yetu isiyo na muunganiko uliojitosheleza.
 
Wakipigwa, watakuwa wamepigwa kama wao.
Wakishinda, itakuwa ni matokeo ya sera nzuri za tumeipenda wenyewe.
 
Back
Top Bottom