iyo game niliniMO analijua hili ndiyo maana ametoa ahadi
Iyo game nilinKuna baadhi ya vitu hata uwe umzalendo kiasi gani,ila facts zikigoma ujue hamna nanma. Kwa kili Stars mbele ya Uganda Facts zinagoma kila idara. Wachezaji wetu hawafungi,hawamiliki mpira,hawana skills za kutosha,hawawezi kudrible(Wachache ndo afazari), Hawana uelewano,Hakuna viungo wabunifu, na pia hawana nguvu alafu bado mtu uwe na matumaini mbele ya Uganda iliyo fiti kila idara!! Kocha mwenyewe hana cha ziada. Nitakua wa mwisho kuamini Kili.Stars itashindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utanijuza na mimiIyo game nilin
Keshoiyo game nilini
Game itakua keshoUtanijuza na mimi
Kwa kutia maji tia maji kule kwa Kili Stars labda bahati tu ndio huenda ikatuvusha fainali.Umdhaniaye ndiye kumbe siye kwani nan alijua kuwa tutaingia hatua hii,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakipigwa, watakuwa wamepigwa kama wao.Kuna baadhi ya vitu hata uwe umzalendo kiasi gani,ila facts zikigoma ujue hamna nanma. Kwa kili Stars mbele ya Uganda Facts zinagoma kila idara. Wachezaji wetu hawafungi,hawamiliki mpira,hawana skills za kutosha,hawawezi kudrible(Wachache ndo afazari), Hawana uelewano,Hakuna viungo wabunifu, na pia hawana nguvu alafu bado mtu uwe na matumaini mbele ya Uganda iliyo fiti kila idara!! Kocha mwenyewe hana cha ziada. Nitakua wa mwisho kuamini Kili.Stars itashindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mechi tatu timu imefunga goli moja! Kwa Waganda tutapona kweli?
Na katika mechi zote tatu kafungwa goli moja
Na katika mechi zote tatu kafungwa goli mojaKatika mechi tatu timu imefunga goli moja! Kwa Waganda tutapona kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kila dalili Uganda na Kenya kukutana fainali. Sisi tupambane tu walau tuichukue nafasi ya tatu. Kuwatoa Uganda kwenye ardhi yao ya nyumbani ni jambo linalohitaji nguvu ya ziada kwa timu yetu isiyo na muunganiko uliojitosheleza.
Naonana kill wanarukaruka tu