TFF wana vigezo vya ajabu kuteua makocha.Naangalia mechi ya Kili Stars na Kenya, mpaka mapumziko wamepigwa 2:0 Wameishiwa mbinu,wamekata tamaa.Staili ya uchezaji ni ile ile toka mechi ya kwanza.
Timu inafungwa kocha haonesha kuwapa wachezaji wake mbinu mpya. Anaangalia tu km mtazamaji. Huyu MgundaTFF wasije fanya tena kosa km hili kumpa timu Mgunda. Hajui chochote!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
HARAMBEE Stars has beaten Tanzania 2-1 to finish third at the 2019 CECAFA Senior Challenge Cup in Kampala, Uganda.
yaani hawa wavivu tunazidi wuwalamba kama glucose kila siku! mchezo wauwezao ni kitandani tu.
Kumbe mods ndio waling'oa yangu ya 7s kids eti wako na mafeelings Kama ilivyo kawaida ya Wadanganyika.... kichapo lazima wapende wasipende.ngoja uone mods wakihamisha thread yako hadi sports! wamefanya zangu mbili hivyo already Leo.
@moderators muwache upuuzi! huu Uzi ni habari ya kenya, msinipangie pa kupost!
Kwa mdomo Tanzania ni Messi