Kili Stars wanatia huruma sana: Kilimanjaro Stars 0 - 2 Kenya

Chochote mtakachojiita, nyie ni wale wale tu lazima tuwaoe....
mashindano ya kuku hayo bingwa anapangwa..cecafa ni kama bonanza tu hakuna cha maana..mara ya mwisho tanzania na kenya kucheza kenya aliondolewa kwenye mashindano ya chan.
 
Hili jambo linaudhi sana.Sasa hivi Shaffi anamsifu Yondani unaweza kufikiri ni bonge la mchezaji kumbe ujinga ujinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkude naye ni 'mjinga mjinga tu' kiungo gani hapandishi timu? Hakuna magoli mengi yaliyofungwa kwa sababu viungo walishindwa kutimiza ipasavyo majukumu yao! Ukiona mabeki wanateseka jua kuwa viungo wanapwaya....Mwache Yondani bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unasoma unaelewa mkuu!Kuliko kudhihirisha ujinga ujinga!Nimesema kitendo cha kusifu ndio "ujinga ujinga" na siyo mchezaji.Mchezaji anacheza kwa kiwango chake alichojaliwa na mwenyezi Mungu,hawezi kuwa mjinga kabisa.Kwanza kusajiliwa timu kubwa hapa nchini kama Yanga ni mafanikio,lakini huu ni ukubwa wa hapa hapa tu.Itakuwa ni upumbavu sana kumjadili mchezaji wa Tanzania na kummiminia sifa na a.k.a nyiiingi as if ni mchezaji mkubwa sana kumbe ni wa kiwango cha chini tu ukilinganisha na viwango vinavyitakiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viungo wa mikia wasiitwe tena Stars ovyo kabisa
 
Kwani DAB na Boss wake wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…