Sehemu ya Hotuba ya Geofrey Kiliba Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini katika ziara yake mkoani Iringa.
Kiliba anaendelea kuwatembelea wanavyuo katika mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kupokea changamoto zao pamoja na kuwapa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani katika taifa letu.
Hapo anajipendekeza ili akimaliza tu chuo apozwe kupitia uteuzi! Halafu maelfu ya watoto wa wakulima wataambiwa waende VETA ili waweze kukiajiri. Vijana wanatakiwa wawagundue mapema sana hawa wanafiki.