Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa


Salamaleko ustaadhi:

 
🀣mwaume gani anarukaruka na kubwekabweka pembeni ya reli badala ya kuzungumza kiume na wenzake huhusu dosari na kasoro zilizopo kwenye taasisi yao πŸ’

hayati Magufuli na huyu mjaa muoga wapi na wap sasa 🀣
🀣
Njoo uface hii post yako kama mwanume hacha kurukaruka kama umevalishwa shanga.
 
Njoo uface hii post yako kama mwanume hacha kurukaruka kama umevalishwa shanga.
ni muhimu akazingatia hili neno la busara gentleman, kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani City kwa siku moja tu, ni mwanzo tu wa athari za uropokaji na kubwekabweka πŸ’
 

Attachments

  • Screenshot 2025-01-23 141931.png
    148 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…