errymars
Member
- Dec 17, 2019
- 98
- 285
Tuki uongelea mchezo wa leo ki ukweli simba hawakua tayari ku ukabili mchezo ,Wachezaji walikua hawana hali na morali hata kidogo.[emoji3064]
Raja wali win mipira mingi ya simba ikitokea katikati na kutengeneza mashambukizi ya ku shtukiza kwa counter Attack mipira ilio kua inapitia pembeni.
Kilicho nishangaza ni simba wachezaji wake zaidi ya sita kudhibitiwa na wachezaji watatu[emoji44]
Mgunda kwenye benchi kama kocha msaidizi sijaona hata akiwa na hofu ya kilicho kua kina endelea kweli fitina za mtu mweusi azijawahi kumuacha mtu salama Embu tuone[emoji17]