Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa.

Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu

Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa kina Skudu, Fredi, Mkude, Msheri, n.k. wapewe nafasi ya kumaliza ligi kuu.

kwenye ligi kuu iwe ni kumsaidia kadri iwezekanavyo Aziz Ki afunge magoli, walau kila mechi afunge moja
 
Na sisi Thimba tufocus zaidi kwenye kudai point za mezani na majungu kwa sana
 
Simba hana uwezo wa kushinda mechi zote zilizobaki, azam pia hana uwezo wa kushinda zote. Ushauri, tff imalize ligi kupunguza gharama.
 
Back
Top Bottom