Bravo247
Senior Member
- Sep 14, 2013
- 119
- 263
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko submitted.
Kuna watu walisubmit zikafail wakalog in wakapata muda wa kulog in wakakuta katika maswali 50 wamejibu 1. Kuna wengine maswali nusu nakadhalika!!!
Sitaki kuandika sana lakini mapungufu ni mengi mengine kama ukiwa kwenye mtihani huwezi kuona kama kompyuta yako iko kwenye mtandao ama imekutoa! Wengine timer ilikuwa imestuck wengine upande wa kushoto kuonesha saa ukiwa umestuck!!
Watahiniwa hawapewi muda wakujua hata wakale chakula mnawakalisha wameshinda njaa mpaka usiku!!!
Then leo jioni mnatoa majibu kama attachment inavyosema! Mapungufu ni mengi wengine wataelezea.
TUNAKARIBIA KUSTAAFU NA HATUNA AJIRA TUNASIKITIKA LAKINI TUTACHOKA SIKU MOJA!!!